capo: 1st fret [verse] G F G Aah mmmh mmmh F G Ah unaringa umepima? aii utajiju F Huu mwaka utachina G Si ulileta unyang'au F Ukaukwi kunitishia G Unaondoka unaondoka F Kama daladala za kariakoo G Inatoka inatoka F Hadharani unanisusia G Kuropoka ropoka F Ama domo lako shimo la choo G Yanakutoka F Na kwa taarifa yako siwezi kuanguka G Maana nishapata pa kuegemea F Mmmh napendwa G Na sio kwa ninavyojidekea F Hulka yako ya pupa G Mwenzako ananinyenyekea F Oooh kutendwa G Nakusikia kwenye bomba F Na tena naenjoy [chorus] G Mpa ka raha mpaka natakatishwa F G Mpa ka raha mpaka anipaga kutwa mara tatu F G Mpa ka raha mpaka naogeshwa nakandwa F G Mpa ka raha mpaka na tena naenjoy [interlude] F G F G [verse] F Napenda akinipa G Akinipa migandisho F Kama anapigwa shoti G Akisakata migandisho F Na kama mapenzi G Roho yake bahari huu muda naelea F Maana nishazamaga G Nishakufa mzoga F Na kama penzi melody kali G Mi kwake ndo burudani F Wala sidhani ka G Ataridhika kunikosa F Na kwa taarifa yako siwezi kuanguka G Maana nishapata pa kuegemea F Mmmh napendwa G Na sio kwa ninavyojidekea F Hulka yako ya pupa G Mwenzako ananinyenyekea F Oooh kutendwa G Nakusikia kwenye bomba F Na tena naenjoy [chorus] G Mpa ka raha mpaka natakatishwa F G Mpa ka raha mpaka anipaga kutwa mara tatu F G Mpa ka raha mpaka naogeshwa nakandwa F G Mpa ka raha mpaka na tena naenjoy
Aah mmmh mmmh Ah unaringa umepima? Aii utajiju Huu mwaka utachina Si ulileta unyang'au Ukaukwi kunitishia Unaondoka unaondoka Kama daladala za Kariakoo Inatoka inatoka Hadharani unanisusia kuropoka ropoka Ama domo lako shimo la choo Yanakutoka Na kwa taarifa yako siwezi kuanguka Maana nishapata pa kuegemea Mmmmh napendwa, na sio kwa ninavyojidekea Hulka yako ya pupa, mwenzako ananinyenyekea Oooh kutendwa Nakusikia kwenye bomba Na tena naenjoy Mpa ka raha mpaka natakatishwa Mpa ka raha mpaka anipaga kutwa mara tatu Mpa ka raha mpaka naogeshwa nakandwa Mpa ka raha mpaka na tena naenjoy Napenda akinipa Akinipa migandisho Kama anapigwa shoti Akisakata migandisho Na kama mapenzi Roho yake bahari Huu muda naelea Maana nishazamaga Nishakufa mzoga Na kama penzi melody kali Mi kwake ndo burudani Wala sidhani ka Ataridhika kunikosa Na kwa taarifa yako siwezi kuanguka Maana nishapata pa kuegemea Mmmmh napendwa, na sio kwa ninavyojidekea Hulka yako ya pupa, mwenzako ananinyenyekea Oooh kutendwa Nakusikia kwenye bomba Na tena naenjoy Mpa ka raha mpaka natakatishwa Mpa ka raha mpaka anipaga kutwa mara tatu Mpa ka raha mpaka naogeshwa nakandwa Mpa ka raha mpaka na tena naenjoy
Tab not available
Buy song
Raha on iTunes store
Support artists with purchashing the original song!