capo: 5th fret [chorus] Am Dm ( woo, woiyo ooh woiyo ooh woiyo ooh ) Am Dm ( woo, woiyo ooh woiyo ooh woiyo ooh ) [verse] Am Ati, kanyaga ka ana pigo za unafiki Dm Kanyaga kama mmbeya asiye rafiki C Kanyaga kama fisi ana roho ya usnichi Dm Hakulishi, hakuvishi kwani vipi? Am Kanyaga----wazee wa shombo kudandia Dm Kanyaga----klabu kuomba omba bia Am Kanyaga----slay queens vitisho vya bandia G Ukivipa hai ati madai vinavimbia [chorus] Am ( kanyaga ) uzushi ( kanyaga ) mashemu feki Dm ( kanyaga ) nuksi ( kanyaga ) kudadadeki Am ( kanyaga ) mawifi ( kanyaga ) mpaka ma ex Dm ( kanyaga ) mikosi ( kanyaga ) woooya kanyaga! [bridge] Am Kanyaga! kanyaga! Dm Kanyaga! kanyaga! Am Kanyaga! kanyaga! G Kanyaga! kanyaga! [verse] Am Yii, ( kanyaga! kanyaga ) Kama unanicheza zangu Dm ( kanyaga! kanyaga ) Wale wakuda wadaku Am ( kanyaga! kanyaga ) Yeah, kidaku daku Dm ( kanyaga! kanyaga ) Wajue hizi namba chafu [chorus] Am Dm ( woo, woiyo ooh woiyo ooh woiyo ooh ) Am Dm ( woo, woiyo ooh woiyo ooh woiyo ooh ) [verse] Ooh yeah eeh Am siku hizi watu wanataka money Dm So nikimuita aku kosti, kanyaga! Am Kunitumia mipicha pigo gani? G Ati basi day nikuposti ( oh yeah yeah ) Am kadi za harusi kuchanga changa, kanyaga! Dm Wakati mwenyewe nina majanga, kanyaga! Am Sina godoro sina kitanda G Ati nikuchangie kodi kwenda kupanga ( yii ) Am Dm kama buti la mugambo, kanyaga! Am Wavuruga mipango, kanyaga! Dm Wazee wa insta michambo Ati 'baby niunge bando' [chorus] Am ( kanyaga ) uzushi ( kanyaga ) mashemu feki Dm ( kanyaga ) nuksi ( kanyaga ) kudadadeki Am ( kanyaga ) mawifi ( kanyaga ) mpaka ma ex Dm ( kanyaga ) mikosi ( kanyaga ) woooya kanyaga! [bridge] Am Kanyaga! kanyaga! Dm Kanyaga! kanyaga! Am Kanyaga! kanyaga! Dm Kanyaga! kanyaga! [chorus] Am Yii, ( kanyaga! kanyaga ) Kama unanicheza zangu Dm ( kanyaga! kanyaga ) Wale wakuda wadaku Am ( kanyaga! kanyaga ) Yeah, kidaku daku Dm ( kanyaga! kanyaga ) Wajue hizi namba chafu [verse] Am I say leeeooo Dm Usiku hatulali, tunakesha kama popo Am leo, leo Dm Tena wape na bare, kama wao pakasi kwako Am Leeeooo Dm Usiku hatulali, tunakesha kama popo Am leo, leo Dm Tena wape na bare, kama wao pakasi kwako Am Asa timba, timba timba ( timbaaa ) Dm wanangu timba ( timbaaa ) Am wao kula kushoto ( timbaaa ) Dm kula kulia ( timbaaa ) Am I say timba, timba timba ( timbaaa ) Dm Oyaa wahuni timba ( timbaaa ) Am kama unazikili ( timbaaa ) Dm Mchaka kabisa akili ( timbaaa ) Kimya!
Woo, woiyo ooh woiyo ooh) It's Platnumz, Zombie (Woo, woiyo ooh woiyo ooh) Its S2kizzy beiby Ati kanyaga ka ana pigo za unafiki Kanyaga kama mmbeya asiye rafiki Kanyaga kama fisi ana roho ya usnichi Hakulishi, hakuvishi kwani vipi? Kanyaga Wazee wa shombo kudandia, kanyaga Klabu kuomba omba bia, kanyaga Slay queens vitisho vya bandia Ukivipa hai ati madai vinavimbia Kanyaga! Uzushi, Kanyaga! Mashemu feki, Kanyaga! Nuksi, Kanyaga! Kudadadeki, Kanyaga! Mawifi, Kanyaga! Mpaka ma ex, Kanyaga! Mikosi, Kanyaga! Woooya Kanyaga! Kanyaga! Kanyaga! Kanyaga! Kanyaga! Kanyaga! Kanyaga! Kanyaga! Kanyaga! Yii, Kanyaga! Kanyaga! Kama unanicheza zangu Kanyaga! Kanyaga! Wale wakuda wadaku Kanyaga! Kanyaga! Yeah, kidaku daku Kanyaga! Kanyaga! Wajue hizi namba chafu Woo, woiyo ooh woiyo ooh Woo, woiyo ooh woiyo ooh Ooh yeah eeh Siku hizi watu wanataka money So nikimuita aku kosti, Kanyaga! Kunitumia mipicha pigo gani? Ati basi day nikuposti (oh yeah yeah) Kadi za harusi kuchanga changa, Kanyaga! Wakati mwenyewe nina majanga, Kanyaga! Sina godoro sina kitanda Ati nikuchangie kodi kwenda kupanga (yii) Kama buti la mugambo, Kanyaga! Wavuruga mipango, Kanyaga! Wazee wa Insta michambo Ati 'baby niunge bando' Kanyaga! Uzushi, Kanyaga! Mashemu feki, Kanyaga! Nuksi, Kanyaga! Kudadadeki, Kanyaga! Mawifi, Kanyaga! Mpaka ma ex, Kanyaga! Mikosi, Kanyaga! Woooya Kanyaga! Kanyaga! Kanyaga! Kanyaga! Kanyaga! Kanyaga! Kanyaga! Kanyaga! Kanyaga! Yii, Kanyaga! Kanyaga! Kama unanicheza zangu Kanyaga! Kanyaga! Wale wakuda wadaku Kanyaga! Kanyaga! Yeah, kidaku daku Kanyaga! Kanyaga! Wajue hizi namba chafu I say leeeooo.. Usiku hatulali, tunakesha kama popo Leo, leo Tena wape na bare, kama wao pakasi kwako Asa timba, timba timba (timbaaa) Wanangu timba (timbaaa) Wao kula kushoto (timbaaa) Kula kulia (timbaaa) I say timba, timba timba (timbaaa) Oyaa wahuni timba (timbaaa) Kama unazikili (timbaaa) Mchaka kabisa akili (timbaaa)
Tab not available
Buy song
Kanyaga on iTunes store
Support artists with purchashing the original song!